Mawasiliano na umaWanafunziWanafunzi wa uzamili na uzamifuUtafitiWanakitivoWasiliana nasi
Karibu kwenye Idara ya Biolojia

Soma ukurasa huu katika lugha ya Kiingereza, Kihispaniola, Kifaransa, au Kijerumani.

    Karibu kwenye Idara ya Biolojia katika chuo kikuu cha Arkansas State. Idara hii amabyo imezidi kukua hushughulikia maswala ya kibaologia ambayo yametanda kutoka mashinani hadi ulimwenguni kote, vilevile kuanzia molekula hadi uumbehai. Kwa kiwango kikubwa utafiti wetu unarejelewa kupitia kwa ushirikiano na maono ya masomo mengine na wanakitivo wetu wana miradi mingi husishi ambayo inafanywa kwa ushirikiano wa masomo mengine. Kwa miaka michache iliyopita idara hii imezidi kuongezeka kwa idadi chapisho na vilevile katika kiwango cha fedha ambazo zimetolewa kama misaaada. Pia tuna miradi mbalimbali ya kufana kama vile Kituo cha Kibaolojiapanda, na ushirikiano wa Taasisi ya Arkansas Biosciences nyingine nyingi.

Dkt. Aldemaro Romero ni mwenyekiti wa idara ya Biolojia.

  Habari mpya

Faculty articles

Articles about Biology Department

Radio Program

Biology Newsletter

TV Shows

Biology Poster

Biology Photo Album

Kwa habari nyinginezo bonyeza hapa

Masuala ibuka

ASU Biology Seminar Series

BEERS (Behavior Ecology and Environmental Research Series)

Soma habari nyingine kwa kubonyeza hapa

 

Idara ya Biolojia ni mwanachama wa Muungano wa Sayansi Halisia, Jumuiya ya Vituo vya Biolojia na Upinde wa mwelewano wa Sayansi. Idara hii imesajiliwa kama Taasisi ya Sayansi ya CITES

Ikiwa unataka kujua mengi juu ya idara hii, unaweza kusoma mpango wa maazimio na ripoti ya mazao ya Idara hii ya hivi karibuni.

Toa msaada wako

Ukurasa wa Biosayansi ya Kimolekula    Ukurasa wa Sayansi ya Mazingira    Nafasi za Kazi

Chuo cha Sayansi na Hesabu   Taasisi ya Arkansas Biosciences  Kituo cha Kibaolojiapanda

Ukurasa wa ASU

Ukurasa huu uhifadhiwa na Martin J. Huss ( mhuss@astate.edu) na Jonathan Stanley (jonathanw.stanley@smail.astate.edu)

Last modified on 09-Sep-2008